Ni matilio gani bora ya kufungia maduara ili kuzalisha kwa ufanisi?

Ni matilio gani bora ya kufungia maduara ili kuzalisha kwa ufanisi?

Ntak

Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
40
Reaction score
35
Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio.

Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili wachimbaji wa mgodi niliopo, ni ufungaji wa maduara kwa kutumia matimba/miti.

Kitendo cha kufungia miti hupelekea kuvunjika, kupolomoka wakati wa kulipua, na wakati mwingine miti hii huoza baada ya kukaa muda mrefu au miti ikiwa mibovu.

Sasa swali langu kwa wajuzi wa haya mambo, ni matirials gani nzuri za kufungia duara ili kuongeza uzalishaji na kuzalisha kwa muda mrefu?
 
Back
Top Bottom