Ni matokeo gani ya timu za Tanzania VS Timu za nje yalikuumiza sana?

Magori mawili ya Boli Zozo Pale Taifa,Fainali ya kombe la CUF (Washindi)...Mdosi siyo mtu wa kimuamini hata kidogo,zawadi ya magari ya KIA aliyoahidi ikatugharimu;akazunguza mbuyu na kuwahonga akina Mwameja/Masatu na wengine...sitasahau aisee...mshenzi sana muhindi yule..
 
Haya masuala ya kuzunguka mbuyu ni hatari sasa.. Unamuona kabisa mchezaji wa timu yako anavyolegeza yani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…