The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Nimeeleza au hujasoma uzuri?Rais Yupi unayemkusudia?
Mke wa Mbowe huyo anakurupuka tuu, yani chuki iko mbele kama Papa yake 🔥Nimeeleza au hujasoma uzuri?
HayaNimeeleza au hujasoma uzuri?
Kweli, Hapo ndipo tatizo lilipo.Tuanze na Rais mwenyewe
Kama Ni mke wamwanaume haina shida hata angekua nyumba ndogo tatizo nikama mtu mwenye degree nyingi akiwa na ***** lake Tabata au yule ehhh huyo huyo kutoka mkoa wa mipakani aliye na machoko, nadhani Kuna watu wanaamini kuwa na ***** kunamfanya abakie madarakani.Mke wa Mbowe huyo anakurupuka tuu, yani chuki iko mbele kama Papa yake 🔥
haina maana hajali tunachosema wala kutaka kama katiba kwake ni kitabu ushauri wako utakuwa ni keleleKama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?
Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba
Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
Duu😳😳😳Tuanze na Rais mwenyewe
Ajitumbue yeye na wenzie wote maana wote ni wale waleKama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?
Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba
Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?
Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba
Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.