Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

Wote!
 
Waziri anayehusika na mazingira... Taka za plastiki laini zimejaa mtaani wakati Mh. Makamba Januari aliziondoa Kwa Sheria kabisa. Kama vipi Makamba arudishwe kwenye hiyo nafasi.
Hivi kufanya usafi kunahitaji hela? Hata wanashindwa kuhamasisha wananchi na serikali za mitaa kufanya usafi mitaa yetu? Wanashindwaje kufuta plastic laini kama vifungashio? Au kuharamisha matumizi ya one-time plastics?
Nikiona jinsi plastiki na taka nyingine zilivyojaa mitaani ndio naamini serikali yetu huwa haijali madhara ya uchafuzi wa mazingira.
Sijazungumzia taka za kielektroniki
 
Yeye ndo ajitumbue
 
Mimi nashauri angejiuzulu rais hiyo nafasi iliyoachwa na marehemu maana nafasi hiyo haiwezi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…