Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Suppose upo na binti mpya, yaani ndo mara yako ya kwanza kumchenjua.
Na kwa viwango vyako, huyo ni binti mrembo ndo maana umetumia kila mbinu kumpata na kumuomba akupe penzi. Simaanishi wale unaowatumia ili tu kutimiza idadi. Namaanisha yule aliyesumbua akili yako hasa.
Huwa unawaza nn unapokuwa mlango wa lodge pale ukishakabidhiwa ufunguo na lodge attendant...?? Je, huwa unawaza:
1. Kaisha huyu?
2. Thank God I found you..??
3. Afadhali nimekupata..??
4. Huyu leo ntampiga show ya ukweli mpk atajuta..??
5. etc