Ni mawazo gani unayokuwa nayo ukiwa mlango wa LODGE..??

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,730
Reaction score
2,388
Suppose upo na binti mpya, yaani ndo mara yako ya kwanza kumchenjua.

Na kwa viwango vyako, huyo ni binti mrembo ndo maana umetumia kila mbinu kumpata na kumuomba akupe penzi. Simaanishi wale unaowatumia ili tu kutimiza idadi. Namaanisha yule aliyesumbua akili yako hasa.

Huwa unawaza nn unapokuwa mlango wa lodge pale ukishakabidhiwa ufunguo na lodge attendant...?? Je, huwa unawaza:

1. Kaisha huyu?
2. Thank God I found you..??
3. Afadhali nimekupata..??
4. Huyu leo ntampiga show ya ukweli mpk atajuta..??
5. etc
 
Nawaza msonyo utakaofuata baada ya kumpa buku mbili!!
 
Huwa nawaza kama Yuko Salama, Hilo ndilo wazo langu kuu.
 
Sauti inakujaga "Kondoo anaenda kuchinjwa, mchinje kipolepole"
 
Yaani mimi nikilala na demu lodge au geto kwangu huwa sipati usingizi kabisa nawaza itakuwaje akifa,muda wote namuangalia kama anapumua
 
Nawaza kodi nitakayo lipa baada ya smelter kuchenjua kinikia na kukuta mawe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…