Ni mawazo Yangu Tu Nawaza kwa sauti kubwa..... Nimeongeza na ninyi msikie huko back bencher ni kuhusu Covid19

Ni mawazo Yangu Tu Nawaza kwa sauti kubwa..... Nimeongeza na ninyi msikie huko back bencher ni kuhusu Covid19

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Hivi serikali haiwezi kutugawia kila mtanzania Milioni moja moja , maana mbona ni Tupesa Tudogo ...tuu ili Kupambana na COVID19 mbona kama nasikia Serikali iko na hela na sisi ni Dona Cantre....Ugumu upo wapi ....Au mimi na mawazo Yangu nakwama wapi......
Kama Tupo 55 milion + Serikali itenge tuu bajeti ya bilioni 3 Wachukue kwenye zile fwedha za makinikia Watupee watapungukiwa nini Hata mara moja kwa miaka hamsini na 5 Tule keki ya taifa na siye ..siyo kila siku ukoko tena uloungua
Uzi tayari
Nimeandika kikorona korona zaidi ...siyo kitaalam...
Vyuma vimekaza ase
 
Back
Top Bottom