Kuna dada mmoja maruufu nampenda saana na nipo tayari kumuoa pesa ninayo. Ila sijui ni njia zipi nitumie kumpata huyu mrembo
Nikiweka pesa mbele mda so mrefu nitafilisika.
Nikitongoza kwa njia hizi zetu za kawaida bila kujionyesha muda so mrefu nitapigwa pending ya Atari tusaidiane mbinu. Mtoto tayari nina namba yake na tayari nachat naye ila kuhusu biashara tu je nikigeuza mada kutoka kwenye biashara kwenda kwenye mapenzi si mtoto ata ni block lakini.
Nisaidie mbinu za kisasa