Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Ni mmbwa, mmbu,nnje, mmbuni(kwa maana ya mti wa kahawa ). Mashine zetu za kuchapia zinatakiwa ziwe na m na n zinazoonesha tofauti hiyo. Maandishi ya hayo maneno yanakuwa na m au n yenye muundo tofauti kidogo.
mmmh!Mkuu umetokea kule kwa mkwawa nn?Umbwa.....Umbu.....Inje......
kiteweo cha watu hicho cha kabila fulani
Utafanya watu wajinyonge kwa hasira.
Wana jamvi,haya maneno yananitatiza!
Je mnyama wa kulinda nyumba ni "mbwa" au "mmbwa"?
yule mdudu anaeneza Malaria ni "mbu" au mmbu?
Unapotoka ndani unaenda "nje"au "nnje"?
Msaada tafadhali!
Mhaya hana ng'ombe..........ni ngombe
Mbwa koko