Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Poor Arsenal !Na mda huu wanaadhibiwa na Bournemouth
Ndoto za Alinacha .Kumbukumbu zinaniambia Arsenal ya Wenger ina rekodi ambayo haijavunjwa na Club yoyote ya Premier League hadi sasa .Kwa sasa nadhani Arsenal ipo tu kwenye "low tide' itakuja ibuka kama 2004 ilivyokuwa
Kuna haja sasa ya serikali ya Uingereza kuingilia kati na kumtimua Wenger ili kuokoa soka la nchi hiyo .eti unamchezesha iwobi na Niles..halafu unategemea ubingwa au top 4!..yule Mzee awe na haya..aondoke
Kumbukumbu zinaniambia Arsenal ya Wenger ina rekodi ambayo haijavunjwa na Club yoyote ya Premier League hadi sasa .Kwa sasa nadhani Arsenal ipo tu kwenye "low tide' itakuja ibuka kama 2004 ilivyokuwa
Arsenal itaendelea kuwa ktk low tide mpaka Wenger aondoke.Kumbukumbu zinaniambia Arsenal ya Wenger ina rekodi ambayo haijavunjwa na Club yoyote ya Premier League hadi sasa .Kwa sasa nadhani Arsenal ipo tu kwenye "low tide' itakuja ibuka kama 2004 ilivyokuwa