storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Dah...usichanganye...mtu mzima Ni yule aliyekomaa kiakili na anayeyajua majukumu yake....uzee ni hali ya muonekano wa mtu....umri hauhusiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Akikukamata inakua mada nyingine tena[emoji3][emoji3]Ingia YouTube sachi self defense techniques utapata za kutosha yaani mtu akirusha teke unamkalisha vipi akirusha ngumi pia unamkalisha vipi
Kingine kama wewe mwembamba ukipigana na mtu mwenye mbavu hakikisha hakushiki inakubidi upigane kama unakimbia kimbia