naomba kupata ushauri hasa kwa walioana,,, je nni mda gani muafaka unaweza kukaa na mpenzi wako kabla ya kuoaana? mf miaka 2? 5? miezi6? au? naomba ushauri,,,

Mapenzi yenu tu hakuna muda maalum wa kukaa kabla ya kuoana. Kama mmezimikiana na hakuna lalam zozote na kila mtu anaridhika kuwa na mwenzie mpaka ``kifo kiwatenganishe`` basi ni pumzi yenu tu.