Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

style mpya ya JF, ukianzishwa uzi kulwa.... soon unakuja uzi dotto! nimeipenda hii
 
Reactions: Off
Waunganishe tu zinachoshaa
Yaani wakiamka na wadada wakilala na wadada halafu wengine wake za watu humu
Wewe mdada mbona umemaind sana?

Hujui hata maana ya chit chat?

Mke wa MTU unafanya nini huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…