Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

I mis u sana aisee, ulitokomea wapi lakn shemela?

ila karibu sana best yangu
I miss you too shem

Nilituma salamu zangu zikufikie, na niliambiwa zimekufikia. Mimi nipo, mambo mengi yanaingiliana sana.

Ila kwa kipindi hiki napatikana
 
I miss you too shem

Nilituma salamu zangu zikufikie, na niliambiwa zimekufikia. Mimi nipo, mambo mengi yanaingiliana sana.

Ila kwa kipindi hiki napatikana
ila shem ukiwa bze pia ni furaha kwangu, salamu zilifika shemela ila pia aliniambia umebanwa na majukumu.
Pambana shemela na tuendelee kuomba Mungu ili ule mwezi ambao tumepanga kwenda kupumzika mahali uwe wa baraka na furaha tele tukifurahia kazi za mikono yetu.
 
Sure!

You have such a nice words
Thank you so much

"Kuhusu mwezi ambao tumepanga kupumzika mahali" usiongee kwa nguvu watu watasikia[emoji85][emoji85]

Bad people ruin beautiful things
 
Mkuu kwa wanaume ninaowajua mimi..
Labda mwanamke awe dada yake au awe halipi..
Au unakuta mtu kapigwa friendzone

Tofauti na hapo urafiki kati ya mwanaume na mwanamke mkaliii ni unafiki na uongo mtupu
Kunakua na kutamaniana eeeh?? Hahahahaa. Kuna muda marafiki zangu wanajisahau wananitongoza nabaki kucheka tu
 
Sure!

You have such a nice words
Thank you so much

"Kuhusu mwezi ambao tumepanga kupumzika mahali" usiongee kwa nguvu watu watasikia[emoji85][emoji85]

Bad people ruin beautiful things

Ok my lovely shemela, thank you for ongoing teaching on how to live in this world.

I am keeping your advice and use it and thanks for complements also.

Cheers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…