I wish nionane na watu wote humu, tupige stories wee, raha sana ,nawapendaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi na sisi tutakutana lini mdogo? ππππππ
Hivi na sisi tutakutana lini mdogo? [emoji85][emoji85][emoji85]
Nipo mdogo.Na umejua kupotea khaa
Haya mpe hongera shem languNipo mdogo.
Hivi nyie ni pacha?π€ͺHivi na sisi tutakutana lini mdogo? πππ
Na tunafanana sana sema mimi ni kimbilikimo. ππHivi nyie ni pacha?π€ͺ
Nimekumis Sesten ZakazakaHivi nyie ni pacha?π€ͺ
Kwa kweli akaribishwe siku mojaKabisaaaa. Aje atuone ndugu wawili tunavyofanana.
Uligoma kuonana na mimi kabisa!Kwa uchache nishaonana na members si chini ya 20, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto.
Ushauri wangu jihadhari na wale wajifanyao wema saaana, don't judge a book by it's cover!
Wewe si muumini wa ile kauli ya daima mbele nyuma mwiko? sasa mbona waongea kinyume eti wewe ni kimbilikimo?π€ͺNa tunafanana sana sema mimi ni kimbilikimo. ππ
Hahahaaaa!! Lol.Kin
Wewe si muumini wa ile kauli ya daima mbele nyuma mwiko? sasa mbona waongea kinyume eti wewe ni kimbilikimo?π€ͺ
Hakika mdogo wangu.Kwa kweli akaribishwe siku moja
Mkate wa kumimina uwepo siku hiyoπ€ͺπ€ͺπ€ͺKwa kweli akaribishwe siku moja