Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Wahenga walisema "msemakweli.........."πππHahahaaaa!! Lol.
Ujue Ses umefanya nicheke kwa sauti mana hii ni zaidi ya kuniumbua. π π .
Mkate wa kumimina kaimati chapati kwa mbaazi za kukata vyote utavikuta na chai ya maziwa karibu snaMkate wa kumimina uwepo siku hiyoπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Wallah ukhuty umenikumbusha mbaali sana, vibibi na vileja visikose piaπ€ͺπ€ͺπ€ͺMkate wa kumimina kaimati chapati kwa mbaazi za kukata vyote utavikuta na chai ya maziwa karibu sna
Utakutana na visheti pia bagia na ndizi mkono wa temboWallah ukhuty umenikumbusha mbaali sana, vibibi na vileja visikose piaπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Kawaida yetu Makorora kudekaaaUtakutana na visheti pia bagia na ndizi mkono wa tembo
Haswaaaa umegusa penyeweKawaida yetu Makorora kudekaaa
Yaan hakuna kitu utakosa tangaTanga rahaaaaπππ
Siku hizi na Tanga kuna Forooo kama ile ya Unguja eeh?Yaan hakuna kitu utakosa tanga
Kweli mkuu inabidi mikakati ifanyike tuonane mubasharaTufanye mikakati basi tuonane