Lets Get Together
JF-Expert Member
- Nov 26, 2019
- 258
- 429
- Thread starter
-
- #101
Kwa hali ya sasa Ilivyo sidhani kama ni rahisi kumuona Maxence Melo kirahisi, si unaelewa kuna wale watu wasio...Mello
Japo kwa dakika 30 tu Itanifaa sana
Mbuzi bei gani kwa leo? Nataka wawili kwa ajili ya kesho.Shemela usijali ukaribie nyumbani vingunguti
Laki mbili ila kwa wewe mkuu natoa hamsiniMbuzi bei gani kwa leo? Nataka wawili kwa ajili ya kesho.
Distributed Denial-of-Service
Mkuu can you please explain about Relief Mirzska. He seems to be a smart guy. I wanna know more about him.
Hapana mkuu sipo DSM, Nipo pande hizi za Kaskazini.Mkuu, thanks for your admiration!
Ila usitegemee makubwa kutoka kwangu maana mimi ni wa kawaida na ni msaka tonge tu.
Anyway, uko wapi mkuu?? In Dar??
Huyo mbuzi mkubwaje?Laki mbili ila kwa wewe mkuu natoa hamsini
Ha haaaa shauri lako uoga wako utapishana na gari la mshaharanikienda kukutana na mshana najua vizuri ni kidume sasa unakwenda ku meet demi unakutana na vandamme huoni hapo nikitekwa itawapa shida wapelelezi
Baba swaleheMeans ujione mwenyewe? Jitumie mwaliko.
Au ni baba Swalehe yule aliyeimbwa na NIKKI wa 2?
Distributed Denial-of-Service
Siku hizi nakuona sana Twitter.
Naomba unitag kwenye ile story yako,nilianza kuifatilia lakin sikupata mwendelezo,Mkuu, thanks for your admiration!
Ila usitegemee makubwa kutoka kwangu maana mimi ni wa kawaida na ni msaka tonge tu.
Anyway, uko wapi mkuu?? In Dar??
Nimecheka sana.Kama wewe ni product ya hapo,basi hiki chuo kimeshuka sana kuwaandaa watu ktk propaganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
usikute hata buku mfukoni haona.Habari ndugu yangu. Mimk nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.
Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
Sisi wazee hatutakiwi kabisa.Bora hukupenda kunijua mimi
Wengi wana maisha tofauti kabisa na uhalisia [emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ha haaaa shauri lako uoga wako utapishana na gari la mshahara
Duuh huyu jamaa si naye atakuKwa hali ya sasa Ilivyo sidhani kama ni rahisi kumuona Maxence Melo kirahisi, si unaelewa kuna wale watu wasio...
Distributed Denial-of-Service