Uchaguzi 2020 Ni Mgombea Urais Kijana, shupavu, ana akili nyingi, jeuri, anajiamni ni msafi na mzalendo wa kweli

Hiyo ndiohoja wamejipanga nayo iliwavuruge uchaguzi. Wanatufanya sisi wajinga kwanini walimteua wakatiwakijuwa anauraia mwingine?...
katika surat-l anam aya ya 115, mwenyeziMungu anatuambia " neno la mwenyezi wako limetimia katika haki na ukweli. Na hakuna anaeweza kulibadilisha, mwenyezi Mungu ni msikivu na mwerevu. "

Chonde usipindishe ukweli wa Quran ili ujifaidishe mwenyewe. Aya 53 katika an nisaa inazungumzia adhabu ya wale wote watakaokaidi aya/maneno ya Allah.

Mwenyezi Mungu ndio mjuzi zaidi.
 
katika surat-l anam aya ya 115, mwenyeziMungu anatuambia " neno la mwenyezi wako limetimia katika haki na ukweli. Na hakuna anaeweza kulibadilisha, mwenyezi Mungu ni msikivu na mwerevu. "...
Nimesema shule za kidunia serekali haitoi elemu bora kufatia jinsi yakupambanua mambo ilakwakuwa kunaelimu yamadrasa inatia wepesi wakujuwa mambo hivyo unajuwa hapa nimedanganywa au laa sasa hapo kipinimejikweza nawalakusema hiki kidogo chadunia nahiki chadini kinasaidia kujuwa kitu siokusema nimesema kitabu chamungu nikipungufu ilamimi ndio ninayo hayo machache sijui utakuwa umeelewa kama hukunielewa basi tuendelee namada tu
 
Uzalendo wa kuuza madini kwa Barrick....wale wanaume.
 
Kila uchaguzi ccm wanatumia uraia kama kinga, ni upuuzi mtupu
Lowassa, Slaa, Mbowe, Lipumba, Mrema n.k hawana uraia wa nchi mbili, ila huyu tuna ushahidi nae. Na watoto wake hawapo nchini, wapo ughaibuni ambapo wana uraia huko.
 
Mkuu turudi kwenye nyuzi zetu za kichawi tuuu naona uku xo saizi yako
 
Hayo kayasema lini? Mbona mna akili za kimbeya sana.
 
Mzalendo ilani yake inataka tuwe tunalipia barabara mzalendo gani ilaa inawapa sekta binafsi ewezo wa kumiliki kila kitu kwa mgongo wa ushirikiano,
Afu tatizo watu wengi wavivu kusoma hasaa chadema ilani yenu hamja isoma mana kilicho andikwa mle hakika kwa mtu timamu hawez kipigania
 
Katika sifa kuu za Lissu inayonikosha ni ujasiri. Achana na uwezo wake mkubwa wa kujenga na kuchambua hoja, akili nyingi... kuu ni ujasiri wake.

Kwa yaliyompata, hakusita kurudi nyumbani na sasa amekuwa mwiba wa koo kwa watesi wake, Lissu hana mfanowe.
 
Hivi kwelii Tanzania tulipo fikia leo Sisi ni wa kuwaza kujenga barabara tushirikiane na wadau afuu baadae tulipe tozo ya ukarabati na matengenezo kwelii
We can't be serious.
 
Hivi wafauasi wa Lisu mbona mmejikita kuwatisha sana NEC?
.
Lisu hana kura za kuwafanya NEC wapindishe matokeo.
.
Hizi blaa blaa zenu za kuwatisha nec badala ya mjitahidi kuzunguka kila kona kupiga kampeni tutakumbausha baada ya 28 oktoba
 
Nakubiaje, "KUNA MTU ATAOKOTA MAKOPO MWAKA HUU".
 
Utakuwa na tatizo la msingi kama wewe siyo MATAGA

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…