Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Ni namna gani unaweza kujinasua hapa?Ile madhabau ya kiganga iliyokupa msaada inakuwa mlango wa mambo ya ulimwengu wa giza kuingia kwako...
Kwa kiswahili fasaha mganga anakuwa na rimonti ya kukukontroli bila weewe kujua, nisawa umpe mtu hati ya gari au shamba.
Na ikitokea kuna mtu anataka kukudhuru mganga yeye anakuwa kama dalali, mfano mteja akaja kwa mganga anayeka kufanikiwa kwenye siasa alafu wewe unakibali mbele za watu mganga anachukua kibali chako anamwamishia yule mteja anaetaka kuwa mwanasiasa huku wewe unadorora.
uliopo mfata mganga ni kwasababu ulikua dhaifu na unataka msaada, na sasa hvi pia unaitajika kumpata mtu mwenye nguvu akusaidie, mimi ni mkriso nakushauri tafta mchungaji uombewe utakaa sawa, mambo ya kiroho ni mambo yanaitaji nguvu..Ni namna gani unaweza kujinasua hapa?