Kwa hiyo mtoto akipewa mimba na miaka 13&14 asiolewe ,huoni kama watoto wanaozaliwa na wanawake waliopo chin ya miaka 18 wanakosa haki ya kuwa na baba!?
Jaalia mtoto kazalishwa na mtu wa hovyo akiwa na miaka 15 ,16,17,18 akafanikiwa kuzaa sasa yule mtoto atakuwa hana baba na atalelewa na Single mother automatically kwa vile hamna ndoa .....yule kijana wa hovyo anaweza kukwepa majukumu kama hatokamatwa hata akiwekwa jela hamna cha maana kwa vile mtoto aliyezaliwa tayari kashakosa haki ya kuwa na baba yake (kafungwa jela ), hata malezi ya matunzo hatopata.