ni michezo au biashara?

ni michezo au biashara?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
hivi habari za bahati nasibu za makampuni mbalimbali ni za michezo au biashara?,maana mara nyingi vituo vya television zimekuwa zikiziweka kwenye upande wa michezo kitu ambacho mimi naona si sahihi.
 
Back
Top Bottom