JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Aug 28, 2009 #1 hivi habari za bahati nasibu za makampuni mbalimbali ni za michezo au biashara?,maana mara nyingi vituo vya television zimekuwa zikiziweka kwenye upande wa michezo kitu ambacho mimi naona si sahihi.
hivi habari za bahati nasibu za makampuni mbalimbali ni za michezo au biashara?,maana mara nyingi vituo vya television zimekuwa zikiziweka kwenye upande wa michezo kitu ambacho mimi naona si sahihi.