Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako. 1]manyara 2]tanga 3]kagera 4]mwanza 5]arusha 6]mara 7]tabora 8]dodoma 9]iringa 10]ruvuma 11]dar es salaam 12]mtwara 13]mbeya
Hapo kwenye DODOMA ilitakiwa uspecify kabisa kwenye mabano namna hii;Dodoma(Kondoa)
 
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya

kilimanjaro totoz sura tu lakini maujanja chumbani hamna kitu
 
Mkoa unaotoa totoz za ukweli upo katikati ya kenya na tanzania!
 
totoz ya ukweli ni mke wako tu na mtu umpendaye haijalishi anatoka mkoa gani
 
Manyara sawa nakubali!umechemka kwa kutoiweka Singida!huko kuna totoz za ukweli,'potabo',na zaidi ya 90% ni weupe(kwa asili)sasa kagera umeiweka kwa kigezo kipi?
 
umefika mkoa mpya wa Katavi? Rukwa je? Hakuna mfano....
 
Manyara sawa nakubali!umechemka kwa kutoiweka Singida!huko kuna totoz za ukweli,'potabo',na zaidi ya 90% ni weupe(kwa asili)sasa kagera umeiweka kwa kigezo kipi?

kijana,totoz za kihaya unazijua vzr kweli wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…