Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

kaskazini totoz zimesimamia kucha afu ni vmodo
 
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya

Mkoa wa Arumeru,Uzini na Igunga.
 
tatizo mikoa mingine mliyotaja wanawatoa dada zetu memory card ukimcheki ni wa ukweli ila ukizama nooooma! eti mila!
 
Huwa ni rahisi kuanzisha uhusiano/urafiki wa kimapenzi hata na watoto wa kihindi lkn tatizo kwao watakukataa,sasa subiri wakati unaenda kujitambulisha!@leonard
 
Hivi hao wazuri huku manyara mnawaona wapi!! maana mi nimezaliwa huku, nimekulia huku na naishi huku mbona sioni hao wazuri wa kuwafagilia hivyo!!! mnaangalia nini sasa!!!. Au mnadanganyika na baadhi ambao mnawaona ni weupe ambao wengi ndio rangi yao. Kama ni rangi mtakuwa mnachemsha sana. Huku manyara hakuna kitu wamechoka vibaya. Mi binafsi mpaka ikanibidi nioe homa (yaani kabila lingine), Nimechukua kitu cha songea nipo nacho huku, madada wenyewe wa kimbulu wanakizimia, hawafui dafu kabisa. sasa sijui nyie mnaongea manyara ipi!!!.
 
inawezekana mnajibu ambavyo sivyo. hebu fafanue, toto za ukweli unamaanisha katika nyanja ipi? sura, figure, tabia au kwenye 6x6 ? ukiwa na tabia nzuri pia ni totoz ya ukweli, ukiwa hujambo kwenye 6x6 pia toto ya ukweli, sura ikipendeza pia toto ya ukweli, shape nayo hali kdhalika. haya fafanua mtoa mada tukujibu kwa ufasaha.
 
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya

mwanza kuna watoto wa ukwele,Dar wakuja 2 hamna lolote.
 

mkuu mbona nimeeleza hapo juu vigezo nlvovitumia?
 
Manyara sawa nakubali!umechemka kwa kutoiweka Singida!huko kuna totoz za ukweli,'potabo',na zaidi ya 90% ni weupe(kwa asili)

na kagera over 90% ni black tena wa asili, upo?
 




Wewe sasa unataka matatizo na afrodenz!
 
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya

acha upendeleo wewe, wapi toto za kinyantuzu nazungumzia bariadi, shinyanga
 
beauty is in the eyes of the beholder.......mkuu vigezo gani umetumiaaaa??labbbbddddaaaa kilimanjaro...reception na sio vinginevyo kama usafiri na nidooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…