NAKAZIA HAPA. mimi mwenyewe nimewahi fika huko nikajioneaMorogoro eneo la Mvuha mpaka Kisaki mashamba bei rahisi, kuba wakulima na wafugaji jamii ya wamasai na wasukuma na pia kuna wakulima. Ardhi ina rutuba unaweza kulima zao lolote unalotaka
Usiisahau tulianiKilimo cha mazao yote nenda morogoro wilaya ya mlimba au ifakara, pia huko ngurue kila nyumba inafuga na mvua ni uhakika kwa mwaka unavuna mara tatu, changamoto mashamba huko ni ghari iwe kukodi au kununua. Kwa nchi hii moro ndo mkoa bora kwa kilimo na ufugaji unashika no 1
Kumbeee, mi sijafika hukoUsiisahau tuliani