M Mbinile Member Joined Nov 2, 2008 Posts 46 Reaction score 106 May 24, 2023 #1 Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?