Nakushauri urudi darasani ukasome. Muda ukifika utafanya mapenzi mpaka ukinai.
Nadhani sijaenda kinyume na angalizo lako kwenye red hapo!
Mitoto ya siku hizi bwana........ Khaaaa!!
Nakushauri urudi darasani ukasome. Muda ukifika utafanya mapenzi mpaka ukinai.
Nadhani sijaenda kinyume na angalizo lako kwenye red hapo!
Mitoto ya siku hizi bwana........ Khaaaa!!
thnx mtotosix kwa ushauri wako lakin tatizo linapokuja ni kuwa hapendi nimwambie ukweli na hata nikimwambia kitu chochote kinachousu yeye ambacho hakinifurahishi ananiambia ninadharau xana na mimi naogopa kumkwanza tht y nw huw cimwambii umenilizisha au la cz naogopa kumkwaza cz nampenda xanaaaaaa co huwa namwacha alizike yeye zen ciku ipite!!!!!
Pole kwa kupitishiwa mzigo bila kuandaliwa mi mwenzio huwa mkali kama kuku mwenye vifaranga kama honey hajaniandaa.YAANI HAKIPITI KITU.
tatizo naogopa kumkwaza