Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?


Dr, Haya hapo juu ndio majibu sahihi ya tatizo lako, nyingine zoote hadithi na elimu mwanana wana JF wanakupa juu ya mtazamo wako kuhusu makabila (sijui mara ya mwisho ulifika lini bongo, lakini mimi naona kwa mtazamo wangu makabila yote kwa sasa mabinti wana tabia zinazofanana waliyorithi toka globalization). Anza upya sahau kabila chapa kazi!
 

Asante mkuu kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi na pia nitakazana kupiga box zaidi ili hata nitakapompata huyo mrembo mwingine basi tule kuku na bata kwa raha zaidi.
Thankx.
 

Thankx Bro,
Nimekusoma vilivyo mkuu, na pia sina budi kumshukuru Madam Rose 1980 kwa kutolifumbia macho suala hili na kutanabaisha mchango wake wa mawazo ambao kwa kiasi kikubwa nadhani huenda ikawa ni source ya hili tatizo nililolipata.

I appreciate U're contribution too.
 
kichaa wangu mpotezee huyo demu kimeooo wewe beba mabox kwa speed kali usimtumie hata chapaa moja
 

ah,hawa watoto hawaeleweki,we utampata 2 ucjali!
 

Hapo anaibiwa nini? umeshasema kuwa demu ambaye hujammega huwezi unakamuita mpenzi wako, hivyo inaaanisha huyo mschana si mpenzi wa jamaa.
 
fimbo ya mbali kaka wajua haiui nyoka. bongo huku mapenzi machache mnooo ukirudi uje utafute mwingine huyo anakutapeli tuu
 

Wapo kimaslahi zaidi.
Hata ungemuoa akitokea mwingine anatoa mchango wake kwa huyo c.h.a.g.a.s mambo ni hayo hayo...tena jamaa angeumia zaidi.
Angejifanya anachacharika ...au yuko busy.
Kwa 7bu kutafuta hakuna mwisho...
Kuna ubaya gani akiwa ndani ya ndoa huku akisaidiana na mumewe?
Ndio hivyo tena....mambo ya utandawazi!.
 

Ndivyo yalivyo. Unasemaje nikuletee na dada yangu ujaribu ili uthibitishe? Nakushauri jaribu wazaramo, kama unaamini mapenzi ya kikabila katika karne hii. Lakini usije tena hapa unalialia:embarrassed::embarrassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…