Ni mimi tu!

Ni mimi tu!

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
847
Reaction score
80
Jamani cjaelewa kabisa yaani P.A.Y.E kwa wafanyakazi ni kubwa mno!

Yaani inatisha, mie kila nikipokea salary slip yangu nazidi kuichukia serikali kwa kunikata pesa zangu tele na huku maisha yakizidi kubana ...Jamani hivi wafanya biashara wanabanwa hivi?
 
Back
Top Bottom