Ni miongoni mwa wanawake warembo wa Kisukuma na mheshimiwa Diwani mtarajiwa mkoani Shinyanga

Huyu ni wewe au shoga ako
 
Haya sio mapenzi ila una mahaba nae kabsa(lowasa's voice)
 
Yani mkoani ukitongoza manzi wa mtu huyo jamaa yake hua anapaniki mbaya sana, kuna mchuchu mmoja nilimsoundisha jamaa alipaniki yani aliwatumia watu kama 5 tofauti hivi wanitafute mpaka nikawa na wauliza hivi huko mikoani hakuna wanawake...
Ahahahha Lymber tuachieee wanaume watu tunawapendaa sio kama nyie wa dar [emoji57][emoji57]
 
Hahahaha we subiri akustukie kwamba una chat chat na mjamaa ni either atajinyonga au atakudhuru wewe...pole sana..
Mi wangu yupo humu muelewa sana,akikasirika kitu anasema haraka tu na anakuambia mhusika
 
Dah kama huyu ni mzuri. Kaka hujatembea.. nakwambia tena hujatembea. Mm mwenyewe wa mkoani lakin huyu bado sana yaani badoo.
Kuna wanawake wazuri nchi hiii huyu hafikii robo
 
Yani mkoani ukitongoza manzi wa mtu huyo jamaa yake hua anapaniki mbaya sana, kuna mchuchu mmoja nilimsoundisha jamaa alipaniki yani aliwatumia watu kama 5 tofauti hivi wanitafute mpaka nikawa na wauliza hivi huko mikoani hakuna wanawake...
Kuna mikoa na mikoa. Si mikoa yote ni washamba .. hawa watakuwa wa huko simiyu.
 
Kuna mikoa na mikoa. Si mikoa yote ni washamba .. hawa watakuwa wa huko simiyu.
Huyu jamaa amesema ni Kahama, binafsi napafahamu Kahama sasa mji kama ule kumpoint mdada kama huyu daah mleta mada anafeli sana inabidi adondoshwe Kariakoo au Makumbusho akashangae warembo
 
Ndugu yangu pole sana, wanaume wa DSM wanapenda kuona. mfumo wa wowowo kwanza, sura baadae !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…