Ni miongoni mwa wanawake warembo wa Kisukuma na mheshimiwa Diwani mtarajiwa mkoani Shinyanga

Yani mkoani ukitongoza manzi wa mtu huyo jamaa yake hua anapaniki mbaya sana, kuna mchuchu mmoja nilimsoundisha jamaa alipaniki yani aliwatumia watu kama 5 tofauti hivi wanitafute mpaka nikawa na wauliza hivi huko mikoani hakuna wanawake...
Hahahahahaaa
 
Mimi sikucheki nataka nijue ni wapi maana kila mjanja ana mjanja wake iweje mdada wa mjini ukamatike kwa huyo jamaa
Hahahaha nizimika na mauno ya kingoni wewe Lyamber halaf mimi sio wa mjini wa Mwanza huku

halaf nawe ni mwanaume wa dar?
 
Tuwekeni full picha tafadhali

Ova
 
Basi hapo wakware wa mikoani huwaambii kitu,MTU mwenyewe sura kama anaomboleza ua
 
Msameheni bure jamani. Mleta mada ni msukuma na wasukuma ugonjwa wao kwa kwa wanawake unajulikana. Mwanamke akishakuwa mweupe tu basi huyo tayari ni mrembo na wako tayari kulipa mahali hata ng'ombe 100 ili waoe mwanamke mweupe Duhh... Mwee....
 
Wasukuma bhana washamba sana na wanachanganyikiwa wakiona demu White sasa huyu si wa kawaida tu au Mtoa uzi umechachawa na hii rangi ya mkorogo?
 
Mleta mada ana bifu na huyu sasa au huyu dada ndo aliyepost maana ukizungumzia wazuri huyu dada haruhusiwi hata kugusa gidamu za warembo wa makumbusho pale
 
Nyumbani Pub iko mitaa gani namikamuungishe weekend moja


Mitaa yangu ni Golden Valley, Rock Point, Royal Fast Food, Pine ridge


Niongezee Nyumbani Pub iliko nikachangie pato la Taifa
 
Nikiona mkorogo tuu nazima, uzuri hana na nywele za maiti ndiyo kaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…