Ni miongoni mwa wanawake warembo wa Kisukuma na mheshimiwa Diwani mtarajiwa mkoani Shinyanga

Kama Usukumani huyu ni mrembo basi simlaumu jiwe kwa kidoti.
 
Wallahi warembo wameisha kama na huyu nae ni mrembo
 
Nyumbani Pub iko mitaa gani namikamuungishe weekend moja


Mitaa yangu ni Golden Valley, Rock Point, Royal Fast Food, Pine ridge


Niongezee Nyumbani Pub iliko nikachangie pato la Taifa
Kwenye ghorofa jipya linatazamana na lake oil jirani na stand ya mabasi ya mikoani. humo humo kwenye jengo
 
Full picture bado tu kutupiwa humu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…