Wanajukwaa Salaam,
Imani yangu tunaendelea vizur.
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za wanawake.
Kitu kimoja kinanisumbua kichwa, niiweke hii biashara yangu sehemu gani kati ya miji hii niliyoipendekeza yaani Dsm,Morogoro, Dodoma na Mwanza.
Ninaamini mtaweza kunisaidia kuja na wazo zuri la mahali pa kusimika biashara.
Natanguliza shukran.
Karibuni.