Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hii nchi imekuwa ya kuchumwa na kunyonywa na wajanja na wengi tumebaki wajinga na kutazama.
Huyu Mkandarasi anayejenga hii barabara ni mwehu wa kutupwa sijui ni barabara ambayo ipo chini ya ya TANROADS ama ni nani. Kila mara hii barabara inachongwa na kuleta tope na kero kubwa.
Hii ni barabara ya kupunguza msongamano lakini inasemekana kuna wajanja walikula pesa ya ujenzi wa kiwango cha lami. Ujinga wa kujaza tope mfano huyu Mkandarasi mwehu kajaza udongo wenye tope kwenye killima cha kuelekea Kinyerezi kupitia daraja la chuma.
Wananchi mnapaswa kujua haki zenu haiwezekani tunachezewa na hawa wehu. Huyu mkandarasi kafanya ujinga hapa kwenye kilima cha mchezaji Danny Mrwanda lami imeshakwisha na barabara inaleta usumbufu sana kupanda. Serikali ingilieni kati hii kadhia.