Barabara wamelima Kama Matuta ya Viazi
Ila naona ni sehemu ya mtu kujilia pesa sake , kila baada ya miezi anajibebea zake greda analima
Anasubiri miezi mingine akalime
Kama wameshindwa Bora waiache hivyo hivyo, wanakula pesa Za greda per day huku wanatesa wananchi [emoji706]