Ni mkataba ipi ya kuuza na kununua magari?

Ni mkataba ipi ya kuuza na kununua magari?

joss1973

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
405
Reaction score
102
Habari wana Jf ? Poleni na shukri za kila siku , thamahani waheshimiwa naomba msaada wa kujulishwa njinsi ya kuandika mikataba ya kuuza na kununu magari , kwa ufupi mimi najishughulisha na uhuzaji na ununuzi wa magari , tatizo langu bado sijafahamu zaidi njinsi ya kufanya mikataba halali ya kuuza na kununua magari ili nisije nikapata matatizo ya kuuziwa magari ya wizi au magari yenye matatizo ya kisheria , kwa mfano magari ya kitaperi , ni vigezo vipi vya kuangaria ili kujuwa uhalali wa gari ? na kutambua gari lisilo na matatizo?au ni mikataba hipi ya kufanya ili kuwa salama kisheria wakati ninapopata tatizo la kununua gari lilo na matatizo
 
Back
Top Bottom