Ni mkoa gani mchele wake wa bei ndogo unaweza kuuza bila kugredi?

aBuwash

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2023
Posts
262
Reaction score
497
Habariinii

Swalii kama linavyojieleza wadau ni mkoa gani naweza kwenda kununua mchelee wa bei za chini na ukawa fresh bila kuwa na chenga nyingii. Yanii unaweza tu kununua ukaupaka mafuta na kuupeleka.

Nachukuwa mchele morogoro aisee nimeshachoka mchele wenyewe faida ndogo afu pia ukiugrediii unaupunguza tena kilo yanii faidaa ndo inazidiii kuwa ndogo kabisa yaniii huu upumbavu wa kugredii gredii nishauchoka sasa dah

Mwenye ujuziii anipe formula jamanii kama kuna njia unaweza fanya mchele ukaenda kuuza bila kugredii na ukawa fresh au kama kuna mkoa inatoa mchele mzurii ambao haukatikii mashinenii msaada wenu wakulungwaaa
 
Morogoro always mchele wao una bei sababu ya jeuri ya kuwa na soko la uhakika
 
mimi nauza mchele kwa jumla nipo Mbeya nauza mchele wa kutoka kamsamba(Rukwa)ni mchele mzuri una harufu na umenyoka debe ni elfu 40000 na 35000 kama utaitaji ni pm , Tanzania hii mchele mzuri ni wa Mbeya naweza kukutumia kilo 10 kama sample karibu mkuu pm,
 
Njoo Tabora ipo Michele mizuri sana kwa mujibu wa maelezo yako Tabora ipo mizur mm huchukua mara nyingi then natoa Vumbi tu nauza ivyo ivyo na mambo yanakwenda Alhamdulilah
Saivi unauzwaje huko tabora ?
 
Njoo Tabora ipo Michele mizuri sana kwa mujibu wa maelezo yako Tabora ipo mizur mm huchukua mara nyingi then natoa Vumbi tu nauza ivyo ivyo na mambo yanakwenda Alhamdulilah
tabora ni kubwa sana mkuu
Unamaanisha igonga,nzega ,urambo au wapi kiongozi?
 
mimi nauza mchele kwa jumla nipo Mbeya nauza mchele wa kutoka kamsamba(Rukwa)ni mchele mzuri una harufu na umenyoka debe ni elfu 40000 na 35000 kama utaitaji ni pm , Tanzania hii mchele mzuri ni wa Mbeya naweza kukutumia kilo 10 kama sample karibu mkuu pm,
Michele ya mbeya tatizo bei kubwa sana wajanja wanachukua Bahi,Tabora n.k afu wanaandika inatoka mbeya ili wauze maana wateja wamekariri mjasiriamali ndipo anapopatia faida,na wwteja wanapenda vitu bei ya chini sasa wa mbeya una bei juu,mfano hapo unesema debe elf 40 inamaana kilo elf 2 wakati sokoni kuna michele mizuri ya elf 2 mpaka chini ya elf 2 hapo kwa bei ya mbeya utalenga wateja wale classic kibiashara ni shida
 
Ndio mchele wa Mbeya una bei juu kidogo lakini ni mzuri ukipika tofauti na mchele sehemu nyengine
 
Mfanyabiashara anangalia faida sio uzuri wa kupika huo ntakula nyumbani😀😀 ila katika kupata faida lazima ufuate chimbo lenye unafuu
 
Back
Top Bottom