NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 728
huku geita maisha ni marahisi auHapa kuna issue mbili, kwanza kuna huyo mtoto anaekupa hvyo vitu halafu kuna mkoa wa kulima. Khs kulima unaeza kwnd Geita, then em tuelezee khs huyo anaekupa vitu![emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
iringa maeneo gani, MKUU
NAOMBA UNITAJIE NA KIJIJI,MKUUNenda Rukwa. ila kichwa cha habari ni shida yaani kama magazeti ya bongo
HAPANA,NI PALE MSICHANA ANAPOKUZIDI PESA.ILI NIONEKANE MWANAUME NA MIMIMariooooooooo
THANKS, MKUU
Sio marahisi, nmependekeza geita kw kuwa kuna mazingira mazuri ya kilimo... maeneo makubwa na unaweza kukodi kw gharama nafuu. Lkn pia wastan wa mvua ni mzurihuku geita maisha ni marahisi au
POA ,MKUUSio marahisi, nmependekeza geita kw kuwa kuna mazingira mazuri ya kilimo... maeneo makubwa na unaweza kukodi kw gharama nafuu. Lkn pia wastan wa mvua ni mzuri
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Team Mario nipo hapaHAPANA,NI PALE MSICHANA ANAPOKUZIDI PESA.ILI NIONEKANE MWANAUME NA MIMI
NAKATAA GARI NANULIWA TREKTA NA VITU KA HIZO
HA HA HATeam Mario nipo hapa
sent by IPhone 6 using jamii forum app
POA ,MKUUKati ya mikoa hii
Arusha, Mbeya, Iringa, Njombe, Manyara au Morogoro