Sounds goodNjoo moshi vijijni ww uone raha kijij kina mpaka banks sio moja sasa
Bia za 1000 buk mbege za kutosha yan
Maji unachota mferejin safi no bills umeme ,maji,hospital kila kijij
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbeya Green City kuna sehemu ukikaa unatamani tusiwe tunakufa tunaviacha
Duh!CHATO IS MY BEST CITY
Dar Tz ndio mkoa pekee nchini unaoongoza kupokea wageni kutoka almost mikoa mingine yote ya nchi hii kila siku iendayo kwa mola.Dar mkoa mchafu kuliko yote, makabila yote tz yapo dar, ustaarabu zero kbs, machemba kumwaga vyoo barabarani kawaida kabisa, msongamano wa watu usiseme. Kila tunda lililoanguliwa kabla ya muda na kuivishwa kwa moto lipo dar. Wanawake wenye rangi za kuungua usoni kwa mikorogo ndio wengi. Vyakula vinavyopikwa ktk mazingira machafu njoo dat. Yani mtu kupasifia dar labda akapimwe akili.