NI MKOA GANI!??

lumia21

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
273
Reaction score
252
Mara baada ya kufutwa ajira za walimu wa arts, Kuna dungu yangu anauliz je ni mkoa gani ni mzuri kwa kijana ane anza maisha hasa anae anza kwa kufanya biashara ndogo ndogo..

Tupia wazo hapa nimsaidie!!

Mie nimemwambia Morogoro.
 
Mikoa ya kanda ya ziwa hatokosa chakula na biashara yeyote inafaa...kilimo nenda mbeya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…