Ni moderators gani humu JF unaowapenda au kuwachukia???

I love you all ladies and gentlemen except someone ameingia humu kwa ID kama yangu anayejiita ARUSHA ONE wakati mimi ni ARUSHAONE (pasipo space) kweli sijajua maana yake na nina wasiwasi anaweza akapost ki2 ambacho ni kizuri au kibaya mkadhani ni mimi aidha nikawa banned au hata yeye endapo nitaweka kisichostahili humu. Anyway majina yako mengi ila nawaachia wanajamvi wenzangu. Hata hivyo ngoja nikaweke uzi wake pale juu. Samahani kwa usumbufu, nawapenda na kuheshimu maoni yenu yote.
 

Lakini hapa mkuu tunaongelea moderators na sio members wa kawaida.
 
Nyani Ngabu unaitwa huku ujibu hoja, wizara yako hii,lol!
I miss my gun sijui nimei-misplace?
 
Last edited by a moderator:
mimi hata hao moderators siwafahamu...
Jamani hata mm nawaogopa na kila nikikanyaga jukwaa la siasa sisalimiki nakimbilia MMJ au M ya Kikubwa
Naona ntaanza kuwajua ntakapowasilisha mchango wangu
 

Allaaah kumbe Rejao ni Mode, sikujua ixee
 
nataka kazi ya moderator maombi yanatumwaje mkuu.
 
Jamani hata mm nawaogopa na kila nikikanyaga jukwaa la siasa sisalimiki nakimbilia MMJ au M ya Kikubwa
Naona ntaanza kuwajua ntakapowasilisha mchango wangu

Kwa nini unawaogopa? Mbona hawana shida?
 
nampenda Cookie...
namchukia paw,alijifanya mjuaji na mbabe baadae akaja kugundua haifanyi kazi hio tactic yake.....sasa hivi watu wanakuwa banned ila sio kama enzi zake,kila siku lazima aondoke na mmoja jinsi alivyokuwa anapenda sifa
I see...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…