Ni Movies gani ziliwahi gusa hisia, mtazamo na labda kubadirisha maisha yako?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuna movies ukiangalia inaacha mark katika maisha yako.

Inakuwa sio tena entertainment, inakuwa fundisho, motivation, inspiration na luckily inabadilisha mtazamo wako juu ya maisha na jinsi gani ya kuhandle life as a whole.

Mimi ziliowahi kuni impact pakubwa ni:

1: Shawshank Redemption:
Amid na kufungwa jera kwa kifungo cha maisha kwa kosa ambalo hakufanya. Jamaa hakunung'unika wala kujikatia tamaa ila alibaki kuwa honest na class kama jinsi alivyokuwa awali huku akiplan kutoroka kwa miaka ishirini kwa uvumilvu na utulivu.

2: Forrest Gump:
Hii ilinifundisha haijalishi ni jinsi gani ulivyo na jinsi unavyochokuliwa na jamii ila ndani yako kuna kitu special cha kubadirisha maisha yako na watu wanaokuzunguka.

3: The Green Mile:

Kwa watu wanaonekana negative sana mbele ya jamii kwa maana waendani na mitazamo yao, unakuta ndani yao ni watu special sana na wakukuwezesha kupiga hatua flani.
 
Mimi ni kitabu cha godfather. Mtazamo wangu ulibadilika sana kuhusiana na namna serikali zinavyoweza kuendeshwa kihalifu kwa shughuli chafu za kimafia
Kuna movies zake godfather 1, 2 hadi 3
 
JUMONG:
Kutoka kuwa kijana dhaifu kuwa Mwanaume aliyeiunda ufalme wa Goguryeo na kuwa mwanamapinduzi wa kwanza wa Wakorea dhidi ya Utumwa wa Wachina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…