scopic sniper
Member
- Oct 18, 2018
- 56
- 55
[emoji1] Pole sana mkuu, kwahiyo ulimpiga chini?
Mimi nilipata demi ambaye hana msimamo kila atakae rusha kamba yumoHahahahh nlishakuwa na manzi moja huyo alikuwa hachagui kilev...
Sigara
Ugoro
Bange
Pombe (za kisasa+kienyeji)
Kuber
Unga tu ndio sijawah kuskia
Alikuwa form4 nkiwa form6
She was smart ashawah kuwa mtangazaj radio kule arusha ya arusha but baadae alipata kaz chuo flan hv cha private kama PRO ni mlev lkn sio malaya tulishindwana kwa huo ulev lkn mambo mengne yuko poa
Hahaaa [emoji23][emoji23] kudadeki walahiNilikutana na demu mmoja wa kihabeshi,mara ya kwanza kwenye sita kwa sita nikasikia ananiambia "My love Jamba Kidogo nisikie harufu ya ushuzo wako",Nikapigwa na butwaa ila nikazuga."Nikamjibu switie nikibanwa ntajamba" Nikapotezea.Mara ya pili tena hivyox2 safari hii na kulalamika juu.Alilalamika mpaka akalia anasema yeye anapata starehe sana akiwa na mwanaume basi amjambie.Nikajaribu kuongea nae na kumbebeleza weee nikamuahidi ntamjambia next time,Ya tatu akanikomalia sili mzigo mpaka nijambe,Hasira ikanishika,Nikaona huyu demu kazoea mapunga, nikamwambia katafute wa**nge wenzio me siwezi kabisa huo upuuzo.Na penzi Likafa.
Ah ah [emoji23][emoji23], chalii angu ulipiga katoto ka primary...aisee ungepigwa mvua 30 ungekua jela huko sahiviKuna manzi nilimpataga kakali katoto ka kitanga, nikawa nakaita ghetto napiga mambo kwa sana
Kaliniambia kanasoma form three enzi hizo niko uni, basi huwa wadogo zake wanakuja kucheza kwetu na wadogo zangu na madogo wengine.
Siku hiyo nipo skani mchana nikamuona dogo wake yupo home na nisiku ya shule nikamuuliza vipi mbona hujaenda shule leo?
Akanijibu " akina Asha wanafanya mtihani wa kumaliza la saba"
Niliishiwa pozi, na kwa kutaka kulinda heshima yangu pale mtaani kwakuwa ni maarufu katika kutibu simu za wana mtaa wangu basi nikakapiga chini.
Aiseee, baharia ulicheza kama pele [emoji23][emoji111]Niliwahi kudate Binti mmoja wa Kisomali, tulikuwa tunaonana kila weekend nakula mzigo siku moja alikuja na dada yake akaniomba nimsaidie Mechi eti sababu yeye na dada yake wanapendana sana na hivi sasa amerudi shule yuko na stress za Kuachwa na Mpenzi wake, Mwanzo nilifikiri utani lakini baada ya kutoka kununua soda za wageni na kuingia kwenye kachumba kangu kamoja na kukuta wote wamesaula na kuvaa vikhanga vyepesi wakinisubiri kitandani....3some matata ikafuata Hakyanani dhambi zingine Mungu atusamehe tu!
Aisee kama ulikuwa akilini mwangu! Yani mtu unatafuta coment ujisomee uchekee mara unakutana na vicoment uchwara vimejazana, si waandikiane inbox? Wanakera sana siyo siri!
Mkuu ni ww ulikopa 1M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtoto mmoja alikuwa friend with benefits..alishanigeuza baba yake... halafu bado akawa na mchizi mwingine... I nilimkomesha Nilimkopa pesa kama nimepata dharura...baada ya hapo nikamwambia tuachane..ananiambia hela yangu nikamwambia kwan nilivyokua nakupa hela mimi baba yako???
Ananichukia saana paka leo
Yaani hii comment nili iandika mwaka mbili zenye zimepita...!!Mimi niliempata wa ajabu alisema.....
Bebi nakuja, kumbe akanya...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ni ww ulikopa 1M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka hatari[emoji23][emoji23][emoji23]mie nilikutana na mpenzi mmoja ambae alikua akiniona tu anaanza kucheka tuu non-stop. mwanzo nilidhani "i was too funny", ila baadae nikaanza kuogopa isije kuwa na date na kichaa.
ya Moto kishenziNiliwahi kudate Binti mmoja wa Kisomali, tulikuwa tunaonana kila weekend nakula mzigo siku moja alikuja na dada yake akaniomba nimsaidie Mechi eti sababu yeye na dada yake wanapendana sana na hivi sasa amerudi shule yuko na stress za Kuachwa na Mpenzi wake, Mwanzo nilifikiri utani lakini baada ya kutoka kununua soda za wageni na kuingia kwenye kachumba kangu kamoja na kukuta wote wamesaula na kuvaa vikhanga vyepesi wakinisubiri kitandani....3some matata ikafuata Hakyanani dhambi zingine Mungu atusamehe tu!
Niliwahi kudate Binti mmoja wa Kisomali, tulikuwa tunaonana kila weekend nakula mzigo siku moja alikuja na dada yake akaniomba nimsaidie Mechi eti sababu yeye na dada yake wanapendana sana na hivi sasa amerudi shule yuko na stress za Kuachwa na Mpenzi wake, Mwanzo nilifikiri utani lakini baada ya kutoka kununua soda za wageni na kuingia kwenye kachumba kangu kamoja na kukuta wote wamesaula na kuvaa vikhanga vyepesi wakinisubiri kitandani....3some matata ikafuata Hakyanani dhambi zingine Mungu atusamehe tu!
Ma Sabrina mbona umeishadidia hii!!! Huwa ni chafuu,,, usiombe uishuhudie kwa umpendayeTusimulie basiii
Ma Sabrina mbona umeishadidia hii!!! Huwa ni chafuu,,, usiombe uishuhudie kwa umpendaye
Huwaga watam sana wa ivo.....full maraha ila uwe mwangalifu na ftureHahahahh nlishakuwa na manzi moja huyo alikuwa hachagui kilev...
Sigara
Ugoro
Bange
Pombe (za kisasa+kienyeji)
Kuber
Unga tu ndio sijawah kuskia
Alikuwa form4 nkiwa form6
She was smart ashawah kuwa mtangazaj radio kule arusha ya arusha but baadae alipata kaz chuo flan hv cha private kama PRO ni mlev lkn sio malaya tulishindwana kwa huo ulev lkn mambo mengne yuko poa