Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu




Mimi nilikutana na mademu wengi tu wa hajabu hajabu ila huyu Muha wa Ujiji (Kigoma) ndiye alikuwa kiboko ya wote. Alikuwa hapendi kuja kulala kwangu ila yeye alitaka mimi ndiye niende kulala kwake mara kwa mara na kila nikienda kulala kwake, baada ya gegedo nasinzia na kushitushwa na yeye kushika nyeti zangu kutaka kuninyoa nywele (mavuzi). Yaani nilikuwa nashindwa kulala kwa visa vyake, na alikuwa ananilazimisha kabisa nilale. Nikamshitukia mchezo wake hivyo katika kumthibiti nikaanza kunyoa mavuzi na kuwa kipara kabisa na mpaka sasa ni mika a12 nimezoea kuwa hivi na sipendi tena kujiona na mavuzi. Waha wehu kweli.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hapana, alikuja kujistukia then akaniambia kuwa she is just so happy when she is around me, so she literally finds humour in everything i say or do. I was her 1st love..... I still remember her laughs & charms
Loooh umenikumbusha sharifa wangu alikuwa anapenda jinsi nnavyocheka na alikuwa akipenda kucheka kama wako niwapo naye ila shida ilikuja ye muislam na mi mkristo
 

Mkuu uliliwqkilisha taifa vizuri saaana.....

Wale watoto wa Mzee manara walikupa uzoefu saana
Cc Daby
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nilikutana na demu mmoja wa kihabeshi,mara ya kwanza kwenye sita kwa sita nikasikia ananiambia "My love Jamba Kidogo nisikie harufu ya ushuzo wako",Nikapigwa na butwaa ila nikazuga."Nikamjibu switie nikibanwa ntajamba" Nikapotezea.Mara ya pili tena hivyox2 safari hii na kulalamika juu.Alilalamika mpaka akalia anasema yeye anapata starehe sana akiwa na mwanaume basi amjambie.Nikajaribu kuongea nae na kumbebeleza weee nikamuahidi ntamjambia next time,Ya tatu akanikomalia sili mzigo mpaka nijambe,Hasira ikanishika,Nikaona huyu demu kazoea mapunga, nikamwambia katafute wa**nge wenzio me siwezi kabisa huo upuuzo.Na penzi Likafa.
 
Hahaaaa,hiyo adhabu ya Chuo gani mkuu.

Chuo kimoja cha dip kipo mwanza wilaya nzee kuliko zote mwanza.

kina watu wazima sema wenye akili za kitoto japokuwa leo tupo wote kazini ila nimewatenga maana hawajakuwa upstair.

wanapenda kufuatilia ya watu. wanataka wanachokifanya wao na wewe ukifanye.

they are miserable being sijapata kuwaona.
 
Tusimulie basiii
 
mi nilikutana na mpenzi ambaye ana maisha ya kibongo muvi... yaan ana simu mbovu.. mpunga hana ila stori zake sasa utachoka.." unajua baby.. jana baba kaniambia nisome eti marekani ni nimekataa... nimemwambia sitaki.. juzi mjomba kataka kuninunulia gari nimekataa... wananilazimisha nikae kwa bamdogo masaki mi siwezi kila siku nyama tu... wanasema kama hutak hatukununulii iphone 7 ..."
nilikuwa na balaa mwenzenu..!!!!
 
Ahhahahahaahahah
 
pole Sana Mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…