Ni mrembo sawa, ila unapendeka?

Ni mrembo sawa, ila unapendeka?

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki.

Kuwa mzuri ni jambo moja, ila kupendeka ni jambo jingine kabisaaaa...
 
Hakikisha unapendeka my wangu..full stop.
Sura hata mbuzi anayo
Mke wangu huwa anawananga Mashoga zake walioachika....anawambia usiombe Kuwa na Shape na Sura nzuri bali Ombea Bahati.

Kiukweli Mke wangu sio Mzuri nikilinganisha na Mademu niliopita nao ila ndio nampenda balaa.

Tabia njema, usafi wa hali ya juu, kutunza Watoto wangu kwa hali ya unadhifu muda woote. Nyumbani nikifika kama Kingdom ndogo.

Kumwacha siwezi na akisafiri huwa anarudi kabla ya muda aliopanga maana nakuwaga siwezi kukaa peke yangu.

Kwanza sijazoea kula migahawani na nikila wiki tu naanza kuumwa tumbo.

Mimi atakaye niloga ni huyu huyu niliyenaye🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom