Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Unaulizwa tako unajibu hipsBila shaka wewe ni timi kiba-100
Kupiga picha na mtu sio mapenzi wala kutopiga nae picha pia sio kielelezo cha upendo, Kuna watu huwezi kuwa na muda nao japo wapo katika jamii.Chuki mbaya
Unapiga picha na msanii ili iweje?Nazungumzia wasanii wa hapa Tanzania, je ni msanii yupo hata mkutane porini mkiwa huwezi kutamani hata kupiga nae picha!?
Kwangu Mimi.
Rich Mavoko
Harmorapa
Harmonize
Dimpozi
Queen Darleen
Hata niwakute wako pekee yao siwezi kabisa kuphotoka nao
[emoji106]Unapiga picha na msanii ili iweje?
Picha yoyote ni lazima iwe na madhumuni yake.
Mfano mimi siipendi mibunge ya ccm lakini huwa tunaunganishwa kitaasisi na mwisho wa siku kunakuwa na picha ya pamoja siwezi kuwakwepa.
Kwa kifupi kwangu picha lazima kuwe na sababu, katika watu ambao kamera za kwenye simu hazina kazi mimi ni mmoja wao sina muda wa picha za kijingajinga tu selfie, am too old for that.
Nadhani unaongelea yule mpiga ngoma? Kama ni huyo hata Mimi siwezi.
Tuko pamojaNadhani unaongelea yule mpiga ngoma? Kama ni huyo hata Mimi siwezi.
Sababu ni nini maseratiOmmy dimpoz.. Hapana aisee sita dhubutu