Zipi hizo??Jina lako linanifikirisha sana
Maserati wa movie zetu zile
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi lavalava alikukosea niniSiwezi kupiga picha na lavalava
We utakua na roho mbaya kushinda hata shetaniMillard Ayo,
Jamaa simkubal aisee mpaka bas. Sjui tu
Kwan ww unampenda kila MTUChuki mbaya
Kumbe nao ni wanamuziki kama ndio hata Mimi hao hapana taka nao pichababa jei na kijana wake bashite
Kwan ww unampenda kila MTU
Upo kama mimi asee, hivi unaanzaje kumuomba mtu eti tupige picha.. ya nini ? tena unakuta mwanaume analeta shobo kwa mwanaume mwenzieKiukweli mm mtu maarufu yyte huwa sinaga shobo nao sana kwenye masuala ya kupiga nao picha wala kuwa nao na maongezi ya kumsifu sanaa kwa kazi zake, awe kiongozi wa siasa au mwanamuziki; tuishie kusalimiana kama itabidi na maongezi machache tu! Maana wengi wanajichukuliaga umashuhuri sana, ivyo sinaga shobo nao!
we ulitaka umwambieje jamaa......au uliogopa tu....sio lazima mind ur own businessLeo Leo nimekutana na hiki kijamaa H Baba hapa kitaa Mwanza na sijashoboka nacho wala nini
Heshimu mamlaka....mnajitwika dhambi zisizo za lazima kwa kutafuta umaarufu.....rais kahusikaje hapaSiwezi kupiga picha na maguful
NB: ni mmoja wa wasanii asie na mvuto