Kwa kile kinachotokea ulaya na marekani hivi karibuni, kama
Leicester kuchukua ubingwa
Brexit kushinda pale U. K
Ureno kubeba euro
Acha na mimi nitabiri kuwa moja kati ya timu zilizokaa mda mrefu bila ubingwa arsenal au liverpool lazima ibebe ubingwa msimu huu maana nimwendo wa underdogs tu