Ni msimuliaji gani kwenye online media ambaye yuko vizuri kwenye simulizi za Kijasusi na Intelijinsia??

denijo

Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
9
Reaction score
19
Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
 
Nenda youtube tafuta simulizi inaitwa GEZA ANASAKWA AUWAWE.
msikilize George Ian Mosenya kupitia msimulizi anaitwa alexanda Ruhundwa

ukimalizana na hiyo tafuta simulizi inaitwa PUMBAZO uje ulinganishe na wasimuliaji wengine wanasimulia kwa kubana pua na kulambalamba midomo yao.

Au kama utaona hizo simulizi ni ndefu, tafuta inayo itwa
ULAANIWE
 
Ngoja na mm nicheck Asante sana
 
Unataka simulizi au unataka anaefahamu hizo mambo ? Kama unataka anaezifahamu hizo mambo nenda YouTube seach DVJ smaa, channel ni fuzzy
Au mtafute sns (pale ni uchambuzi wa mambo hayo but current)
 
Back
Top Bottom