mukizahp2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 705
- 378
[h=2]Ni mtanzania aliyegundua konyagi?[/h]
wana jf nimesikia kuwa ile pombe maarufu afrika yaani konyagi kuwa aliyeigundua yaani aliyeitengeneza mara ya kwanza ni mtanzania mwenzetu,sasa nataka kujua kuwa serikali yetu ina mpango gani na huyu jamaa,yaani kumuenzi kwa aina fulani,maana nimesikia kuwa kuna msouth afrika anataka kupewa tunzo ya ubunifu huu,